Wataalam wa hesabu, nisaidieni

Wataalam wa hesabu, nisaidieni

Msaada kwa wanaojua Mathematics

N:B mi nimeumiza kichwa nimeshindwa

Hili ni swli mboga sana. Haya ni baadhi ya maswali ya nchi za Asia ambazo hupendelea "logical puzzles" kwenye hesabu zao. Jibu ni

15 na 15. Swali halijasema fill ALL the boxes;
 
Hili ni swli mboga sana. Haya ni baadhi ya maswali ya nchi za Asia ambazo hupendelea "logical puzzles" kwenye hesabu zao. Jibu ni

15 na 15. Swali halijasema fill ALL the boxes;
Nami nilifanya hvy hvy nimeshangaa watu wanahangaika kujaza vyote
 
Kitabu cha form one uirudie kusoma hasa namba tasa, witiri na shufwa na ukizisoka sifa ya kila mmoja jibu litakuwa rahisi mno.
 
Back
Top Bottom