Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,615
- 81,119
Mkuu jipange nunua yako tu maana ni kwa bajeti ya laki moja tu unapata wifi tena inakuja mwezi wa kwanza ikiwa na ofa ya mwezi mmoja free
Jibu fupi tuWadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.