Wataalam wa hacking msaada

Wataalam wa hacking msaada

ALPHA inatumika for penetration testing ( specific wireless network ) not PC na sio kwa proffesional hacker tu, hacker ni hacker ( na inaweza tumika na mtu yoyote ) hayo majina mengine sijui proffesional hacker mbwembwe tu ni kujipa vyeo na umuhimu usio la ulazima
Professional sio mbwembwe mkuu ni vyeti, kuhusu kutumika na mtu yeyote sikatai ila nnaposema professional ni wale wanaotambulika serikalini yaani white hackers na gray hackers hawadhuru, Hawa wengine na Mimi ni black hackers.

Penetration inadili na password za account kama email, e bank nk, na muda huo unafanya penetration we mwenyewe tayari unakuwa upo online

Sasa utakuwa na akili ya aina gani kupoteza muda,bando na kuumiza kichwa ili upate password ya wireless ambayo dakika mbili mwenyewe akikushtukia anakublock au anabadili password
 
achana na hayo majina hizo ni terminology za kuwafundisha wanafunzi chuo, ukija kwenye field mambo tofauti na watu wanaojipa hayo majina.

Penetration testing nani kakuambia ina deal na password za account kama email ? ( Pen Test ipo lwa ajiri ya kuangalia udhaifu au uimara wa mfumo inaweza ikawa network, system au hata application n.k ) na hapa kunakuwa na technique mbali mbali ambazo hutumika ku simulate real attack katika target husika..

Wengine wanafanya hacking for funny
 
Professional sio mbwembwe mkuu ni vyeti, kuhusu kutumika na mtu yeyote sikatai ila nnaposema professional ni wale wanaotambulika serikalini yaani white hackers na gray hackers hawadhuru, Hawa wengine na Mimi ni black hackers.

Penetration inadili na password za account kama email, e bank nk, na muda huo unafanya penetration we mwenyewe tayari unakuwa upo online

Sasa utakuwa na akili ya aina gani kupoteza muda,bando na kuumiza kichwa ili upate password ya wireless ambayo dakika mbili mwenyewe akikushtukia anakublock au anabadili password
Hackers na vyeti wapi na wapi?

Zile Basics za darasani hazikufanyi uwe what so called "professional hacker".
 
Wadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.

Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?

Asante.
Utafikiri unafaidi wi-fi ya bure kumbe wewe ndiyo unapigwa. Unapitisha mawasiano yako kwa jirani? Ni kama kuanika nyeti zako kwa jirani! BTW ingekuwa ni rahisi hivyo kuweza kupata password za routers za jirani yako unadhani maisha ya mtandao yangekuwa kama yalivyo sasa? Swali lako linaonyesha bado wewe ni mshamba sana kwenye mambo ya teknolojia ya mawasiano.
 
Wadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.

Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?

Asante.
👉😁😁😁 cheza huu mkeka uenda ukapata pesa ya sikukuu na kununua route yako
Sportbety

5HVT2C
 
Attachments

  • Screenshot_20260405-103042_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260405-103042_SportyBet.jpg
    71.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom