Dogo lala basiEndeleeni kudanganyana et weak..
😂😂😂😂😂
Hiyo ni adapter ya wireless ila haiwezi ku bypass password, inatumika sana sana kwenye desktop au laptop za zamani ambazo haziwezi kuunganisha wireless directlyKuna kidude kinauzwa sijui sh ngapi ilaitakua parefu anacho Dogo flan kipo kama USB stick akiscan tu ni waleteee...
Huenda anazungumza ALPHA ambayo hutumika kufanya attacking kwenye Wi-FiHiyo ni adapter ya wireless ila haiwezi ku bypass password, inatumika sana sana kwenye desktop au laptop za zamani ambazo haziwezi kuunganisha wireless directly
Hii kwa uelewa wangu wanatumia professional hackers kuattack PC ya mtu ambaye yupo kwenye network Moja kwa mfano public wireless network ambayo ni free Haina passwordHuenda anazungumza ALPHA ambayo hutumika kufanya attacking kwenye Wi-Fi
ALPHA inatumika for penetration testing ( specific wireless network ) not PC na sio kwa proffesional hacker tu, hacker ni hacker ( na inaweza tumika na mtu yoyote ) hayo majina mengine sijui proffesional hacker mbwembwe tu ni kujipa vyeo na umuhimu usio la ulazimaHii kwa uelewa wangu wanatumia professional hackers kuattack PC ya mtu ambaye yupo kwenye network Moja kwa mfano public wireless network ambayo ni free Haina password
Hakuna app inayoweza, labda uwe na access ya simu au laptop iliounganishwa hio wifiWadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.