GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Oct 17, 2017 #1 Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu? Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama watatu kwa wakati mmoja.
Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu? Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama watatu kwa wakati mmoja.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Oct 17, 2017 #2 unaweza andika na excel ukitaka, ila word ndio inapendeza zaidi na unaweza tuma hata kwa watu bilioni 1, ni wewe tu, sababu hakuna limit ya kutuma email,
unaweza andika na excel ukitaka, ila word ndio inapendeza zaidi na unaweza tuma hata kwa watu bilioni 1, ni wewe tu, sababu hakuna limit ya kutuma email,
dickchiller JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,847 Reaction score 3,151 Oct 17, 2017 #3 GIPAMA said: Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu? Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama watatu kwa wakati mmoja. Click to expand... Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application
GIPAMA said: Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu? Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama watatu kwa wakati mmoja. Click to expand... Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application
GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Oct 17, 2017 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: unaweza andika na excel ukitaka, ila word ndio inapendeza zaidi na unaweza tuma hata kwa watu bilioni 1, ni wewe tu, sababu hakuna limit ya kutuma email, Click to expand... Ndio mnielekeze sasa, kama excel inawezekana naombeni nielekezwe kuwa nafanyaje, kama ni word pia nielekezwe kuwa natumaje kwenda kwa watu wengi. dickchiller said: Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application Click to expand...
Chief-Mkwawa said: unaweza andika na excel ukitaka, ila word ndio inapendeza zaidi na unaweza tuma hata kwa watu bilioni 1, ni wewe tu, sababu hakuna limit ya kutuma email, Click to expand... Ndio mnielekeze sasa, kama excel inawezekana naombeni nielekezwe kuwa nafanyaje, kama ni word pia nielekezwe kuwa natumaje kwenda kwa watu wengi. dickchiller said: Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application Click to expand...
GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Oct 17, 2017 Thread starter #5 dickchiller said: Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application Click to expand... Sijapata mafunzo ndio, nielekeze sasa
dickchiller said: Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application Click to expand... Sijapata mafunzo ndio, nielekeze sasa
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,318 Reaction score 2,489 Oct 17, 2017 #6 GIPAMA said: Sijapata mafunzo ndio, nielekeze sasa Click to expand... ndio umeambiwa ukasearch youtube kuna video zinaelezea step kwa step
GIPAMA said: Sijapata mafunzo ndio, nielekeze sasa Click to expand... ndio umeambiwa ukasearch youtube kuna video zinaelezea step kwa step