mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Ifont kwako itakua kama dokta mwaka. Suluhisho la magonjwa sugu.Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo wake kama wa fonts style asanteni kwa mlionielewa simu yangu ni Tecno c8 sijajua endapo itasupport mara nyingi nimeziona kwenye sungsung natanguliza shukrani