Ufahamu Udukuzi kwa njia ya APP za simu na Computer

Ufahamu Udukuzi kwa njia ya APP za simu na Computer

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
440
Reaction score
740
Usipakue 'APP' Isiyokuwa Rasmi, katika Vifaa vyako kama Compyuta na Simu
1721813504095.png

Wapo wanaopakuwa App kutoka katika Tovuti zikisema zitawasaidia Kusafisha simu, kuweka muonekano mzuri wa Simu, App hizo hutumika kama Nyenzo ya kudukua kifaa cha Mtu huyo pasipo yeye kujua.

Zinamtaka mpakuaji kuipa APP hiyo ruhusa ya kufikia Taarifa za Simu Ulizopiga na kupigiwa, Hifadhi ya simu, Kujua app ulizonazo katika simu na hata Kufanya mabadiliko katika kifaa chako, Hivyo mdukuzi anaweza Kupata Taarifa zako bila wewe kujua na Kuchukua anachohitaji kwenye simu yako.

Wengi huwa na App za Kifedha hivyo mdukuzi huweza kupata taarifa zote hata kujiamishia Fedha pasipo mhusika kujua na Huweza kufuta kila kitu kwenye simu yako pasipo muhusika kujua.
 
Back
Top Bottom