Wataalam wa apps za simu msaada tafadhali

Wataalam wa apps za simu msaada tafadhali

chajasho

Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
20
Reaction score
1
Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo wake kama wa fonts style asanteni kwa mlionielewa simu yangu ni Tecno c8 sijajua endapo itasupport mara nyingi nimeziona kwenye sungsung natanguliza shukrani
 
Tafuta app inaitwa iFont
 
inabd uwe umeroot simu kwanza....then download app inaitwa hifonts zpo nying sn umo
 
Asanteni nikiroot nakuwa kama naiflash mkuu @ p hunter pia naingilia wapi kuiroot
 
Mrejesho : napata keyboard change pekee siipati display Change icon
 
Ku root ndio kufanyaje wakuu?... Ina madhara gani endapo niki root?... Hivi hizi tecno c8 zina uwezo wa 4G Internet speed??
 
Huwa inaweza kuathiri nini mkuu halafu naweza kuroot kwa njia tofauti hii inanisumbua sana
 
Asee mm mwenyewe Nina simu ya lg lakin Nash ila inasumbua sana asa kwenye upande Wa Ku download kutoka kwenye kutoka kwenye pray stoo kwenda kwenye memory
 
Attachments

  • Screenshot_2015-12-18-14-44-22.png
    Screenshot_2015-12-18-14-44-22.png
    17.3 KB · Views: 264
Back
Top Bottom