Wataalam wa Android, msaada wenu unahitajika hapa.

Wataalam wa Android, msaada wenu unahitajika hapa.

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,705
Reaction score
3,021
Kuna simu za samsung ambazo hazipokei android version kutoka kwa manufacture directly.
Mfano ni galaxy S6 flat (SM-G920P).
But unaweza update version manually.

Sasa tuje kwe lengo.
Ni wazi kwamba ili ufaniliwe ku update version ni lazima upate fail ambalo ni appropriate mwa simu husika.
Ila nimekwama kutambua fail ambalo ni appropriate kwa simu yangu, baada ya kukutana na issue kama...
XAS, BST, USA-VMU, and Spint (cdma) SPR.
Mfano.

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown XAS)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Virgin Mobile USA VMU)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown BST)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Spint (Cdma)

SPR).

Hapo sijui nichague fail lipi.

WATAALAM NISAIDIENI HAPO
 
Nadhani kama umelikosa kabisa kabisa basi jaribu lolote ila hayo ya cdma uyaache maana huku kwetu bado ni changamoto ingawa waweza tumia ile laini ya TTCL ila anza na hayo kwanza kisha fanya network unlock.

Sent from my Cupboard using Mugs.
 
Kwanza kibongo bongo ingia download mode uhakiki kama hio model ni sahihi.
 
Nadhani kama umelikosa kabisa kabisa basi jaribu lolote ila hayo ya cdma uyaache maana huku kwetu bado ni changamoto ingawa waweza tumia ile laini ya TTCL ila anza na hayo kwanza kisha fanya network unlock.

Sent from my Cupboard using Mugs.
Thank you
 
Tumia custom rom ya bigdady,ni kali sana ,sema shida kwa baadh ya s6 zinakosa hotspot

Screenshot_20180513-014103.jpeg
Screenshot_20180513-014138.jpeg
Screenshot_20180516-183736.jpeg
Screenshot_20180516-221700.jpeg
Screenshot_20180513-014127.jpeg

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hello boss, ingia kwenye setting ya simu yako, nenda about phone, angalia baseband vision ichukue ndio utapata fail sahihi ya simu yako. Tofauti na hapo ukiweka baseband ya tofauti itaua system ya baseband, ambapo itakulazimu ku-repiar baseband alafu irudishiwe imei kwa njia ya certificate. Ila kwa uzoefu wangu wa simu za Samsung kama sio lazima sikushauri ubadilishe vision coz huwa baadhi zinasumbuaga, inaweza Wi-Fi au hotspot isifanye kazi au play store..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna simu za samsung ambazo hazipokei android version kutoka kwa manufacture directly.
Mfano ni galaxy S6 flat (SM-G920P).
But unaweza update version manually.

Sasa tuje kwe lengo.
Ni wazi kwamba ili ufaniliwe ku update version ni lazima upate fail ambalo ni appropriate mwa simu husika.
Ila nimekwama kutambua fail ambalo ni appropriate kwa simu yangu, baada ya kukutana na issue kama...
XAS, BST, USA-VMU, and Spint (cdma) SPR.
Mfano.

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown XAS)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Virgin Mobile USA VMU)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown BST)

G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Spint (Cdma)

SPR).

Hapo sijui nichague fail lipi.

WATAALAM NISAIDIENI HAPO
Unapata error kwa sababu faili unaloweka version yake ni ndogo kuliko version iliyomo. kuna version mbili za file kuna zenye herufi S na U. Mfano G920PVPS4DRC2 hapo kwenye S4 unaweza kukuta file lingine ni U4 hizo ndo version za file lililomo.

Jinsi ya kutatua shida yako boot simu yako kwenye recovery au angalia build no kwenye about phone, kama utakuta S au U na namba labda 6 tafuta file lenye namba hiyo au zaidi. Ukishindwa weka picha ya recovery ya simu yako upewe faili sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung galaxy s6 G920P flat sio curve
According to gsmarena G920p haina band hata moja inayokubali Tanzania.
LTE band 2(1900), 4(1700/2100), 5(850), 12(700), 25(1900), 26(850), 41(2500) - G920P

Hakuna 800/1800/2300 hapo.

Hivyo hapo kuna mawili,
1. Ilikuwa ikidisplay 4g fake hali ya kuwa ulikuwa ukitumia 3g
2. Wali unlock band.

Jaribu kuangalia hii tutorial
Enable bands
 
ok mkuu ntakuja na feedback
 
Game launcher ipo mi lakini mimi naweza kurecord video au screen shot kwa game tu kwa izo app nyingine wafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazi add manual

Fungua game launcher halafu juu kulia gusa kwenye zile dots 3 kisha chagua add app na kuweka app unayotaka mwenyewe,

App itakaa na games nyengine ila itakuwa na alama tofauti, iguse bila kuachilia kwa muda itatokea mini menu chagua list this app as game.

Fungua hio app na utaweza kuirecord.
 
Back
Top Bottom