Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Natumia tecno camon CX air,ni simu nzuri tu ila ina changamoto katika charge,inakaa na chaji vizuri tu ila sasa kwenye kuchaji ndo kimbembe unaweza ukaiweka chaji saa 1 asubuhi ukija saa 5 kuangalia,unakuta imeingia 15% tu, ukitaka ijae full labda masaa 10 + lakini napo inaweza isijae unaweza kukuta labda 70%.
Tatizo ni nini, simu au charger, nisaidieni niweze ku-fix.
Tatizo ni nini, simu au charger, nisaidieni niweze ku-fix.