Wataalam msaada jamani

Wataalam msaada jamani

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
583
Reaction score
235
Hvi nini kifanyike kwenye hizi cm za manual flan labda Vodacom au tigo ambazo uaambiwa lain no 1 lazima iwe ya mtandao huo,, je ili uondokan na hlo tatizo LA kukataka utie lain ya mtandao huo wakti ww unataka utie lain yoyote,,? Ni hayo tuu
 
Apo mbaka huiflash...au huingize unlock codes ambazo zinapatikana baada ya kutuma imei namba za simu yako kwa wataalamu wa hayo mambo.
 
Back
Top Bottom