Hakuna njia tofauti, jipange ununue Budle Ya mwezi au u jipange kukesha na wajanja night wiki nzima.
Hapo wajanja night tuu kutuka Vodacomtz
uko wapi....kuna mtandao mpya umekuja unaitwa smart au bol...buku tuu kwa siku unapata UNLIMITED siku nzima...
Hapo wajanja night tuu kutuka Vodacomtz
Bado hawana vocha kama ilivyo kwa mitandao mingine, unatakiwa uende kununua kwenye ofisi zao za BOL,,pia hawana modem, na hiyo unlimited ni kwaajili simu tu. Ukichomeka line kwenye modem haitaConnect. Unachoweza kufanya ni kutumia internet tethering kupitia simu yako..spidi ya kudownload ni nzuri unapokuwa na 3G network, ila ikiwa Edge spidi inakuwa ndogo..advantage ya unlimited yao ni kwamba, bei ni ndogo na pia hawashushi bandwidth,,Maeneo ya vetenary-Tazara , sasa huo mtandao vocha zake ntazipata maduka ya wapi maana za zantel tu sehemu zingine kupatikana ni mziki.