igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Halafu watanzania, hasa wenye uwezo wa kifedha ni watu wa ajabu kweli. Yaani kuchimba kisima kirefu kwa mashine kwa Dar ni kinawezekana kabisa na hata kuwauzia majirani lakini wao wameng'ang'na na DAWASA tuu. Kijijini kwetu kuna jamaa mmoja amechimba maji na kujenga matenki halafu amewasambazia watu wengi tuu tena kwa bei ya chini kuliko ya serikali. Ila kwa roho mbaya za baadhi ya viongozi wetu wameanza kumpiga vita huyo jamaa na kumuwekea mizengwe.Unavyofanya biashara unategemea kupata faida,Dawasa inatoa huduma kwa jamii pia ipate faida ya kujiendesha, desalination process ni very expensive.
Utakuwa unatumia gharama kubwa halafu faida hupati, labda wajenge reservoirs kubwa kwa ajili ya kuhifadhi maji itasaidia kipindi cha dry season.