tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
- Thread starter
- #21
angefuata sheria asinge kaa Gerezani na huwezi kukaa gerezani kama unafuata sheria usiwadange watu.....asiyefuata sheria gerezani kuna muhusu kama huyo uliyemtaja....tatizo kubwa la watz siku hizi ni nkuishi kwa hisia na maneno ya mitaani.Ww kiherere unajionaga upo salama sana kua huko ulko,nan alikuambia kufuata sheria hakuwez kukufanya ukawa gerezan? Manji alfanya nn kama sio uonevu?