Waswahili bhana, hawakosi cha kuuliza

Waswahili bhana, hawakosi cha kuuliza

watu bwana. Kila mji unaokwenda hawakosi cha kukuagiza.

Kama waenda mbeya utasikia, "tuletee maparachichi na mchele."

ukienda moshi unaagizwa, "usisahau kutuletea kahawa."

uendapo dodoma utasikia, "utuletee zabibu na karanga."

ukienda tabora wapo tu, "pliiiiz utununulie asali huko."

ukienda morogoro wanaagiza, "tuletee magimbi basi."

kama waenda bagamoyo waagizwa, "mananasi ya kule matamu usisahau kutuletea."

unapokwenda tanga utasikia, "tuletee machungwa jamani!"

kama ni safari ya songea, "usisahau viazi vya songea."

unapokwenda mtwara unaagizwa, "tuletee korosho unaporudi."

unapokwenda kigoma, "jamani rudi na mafuta ya mawese na migebuka."

ukisema safari inaishia singida wana wewe tu, "basi utuletee mafuta ya alizeti."

ukiwaambia unakwenda mwanza wanaagiza, "utuletee samaki sana sana sato."

kama waenda bukoba hawachoki tu, "tafadhali utuletee senene!"

kasheshe sasa kama safari yako inaishia iringa. Utasikia sasa, "niletee mdada wa kazi jamani!"
ukienda arusha utaskia..........usisahau cha arusha au chameru pale kwa jajiii au alkokola
 
Watu bwana. Kila mji unaokwenda hawakosi cha kukuagiza.

Kama waenda Mbeya utasikia, "Tuletee maparachichi na mchele."

Ukienda Moshi unaagizwa, "Usisahau kutuletea kahawa."

Uendapo Dodoma utasikia, "Utuletee zabibu na karanga."

Ukienda Tabora wapo tu, "Pliiiiz utununulie asali huko."

Ukienda Morogoro wanaagiza, "Tuletee magimbi basi."

Kama waenda Bagamoyo waagizwa, "Mananasi ya kule matamu usisahau kutuletea."

Unapokwenda Tanga utasikia, "Tuletee machungwa jamani!"

Kama ni safari ya Songea, "Usisahau viazi vya Songea."

Unapokwenda Mtwara unaagizwa, "Tuletee korosho unaporudi."

Unapokwenda Kigoma, "Jamani rudi na mafuta ya mawese na migebuka."

Ukisema safari inaishia Singida wana wewe tu, "Basi utuletee mafuta ya alizeti."

Ukiwaambia unakwenda Mwanza wanaagiza, "Utuletee samaki sana sana Sato."

Kama waenda Bukoba hawachoki tu, "Tafadhali utuletee senene!"

Kasheshe sasa kama safari yako inaishia Iringa. Utasikia sasa, "Niletee mdada wa kazi jamani!"

hiyo ya dada wa kazi ni noma mkuu
 
We ukitaka kuwakomesha wambie unaenda Tarime(Mara)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom