charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,374
Ukienda Mara
Tuletee bange na mishale.
Ukienda Mara
Ukienda zanzibar je?
Exactly !!...... ukisemwa wavuka na meli kwenda Zanzibar, utasikia "
Ukienda Mara
Mi naenda shinyanga, nikuletee nini?
Ukija Jf utaambiwa weka picha!