Waswahili bhana, hawakosi cha kuuliza

Waswahili bhana, hawakosi cha kuuliza

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,817
Reaction score
9,345

Watu bwana. Kila mji unaokwenda hawakosi cha kukuagiza.

Kama waenda Mbeya utasikia, "Tuletee maparachichi na mchele."

Ukienda Moshi unaagizwa, "Usisahau kutuletea kahawa."

Uendapo Dodoma utasikia, "Utuletee zabibu na karanga."

Ukienda Tabora wapo tu, "Pliiiiz utununulie asali huko."

Ukienda Morogoro wanaagiza, "Tuletee magimbi basi."

Kama waenda Bagamoyo waagizwa, "Mananasi ya kule matamu usisahau kutuletea."

Unapokwenda Tanga utasikia, "Tuletee machungwa jamani!"

Kama ni safari ya Songea, "Usisahau viazi vya Songea."

Unapokwenda Mtwara unaagizwa, "Tuletee korosho unaporudi."

Unapokwenda Kigoma, "Jamani rudi na mafuta ya mawese na migebuka."

Ukisema safari inaishia Singida wana wewe tu, "Basi utuletee mafuta ya alizeti."

Ukiwaambia unakwenda Mwanza wanaagiza, "Utuletee samaki sana sana Sato."

Kama waenda Bukoba hawachoki tu, "Tafadhali utuletee senene!"

Kasheshe sasa kama safari yako inaishia Iringa. Utasikia sasa, "Niletee mdada wa kazi jamani!"
 
kichwa cha habari kingesomeka hivi:

Waswahili bhana hawakosi cha kukuagiza.

Back kwa topic..............

Ukiona hivyo Mwenyezi Mungu ameibariki nchi yao kwa kuwa na kila aina ya vitu
 
Exactly !!...... ukisemwa wavuka na meli kwenda Zanzibar, utasikia "
 
Watu bwana. Kila mji unaokwenda hawakosi cha kukuagiza.

Kama waenda Mbeya utasikia, "Tuletee maparachichi na mchele."

Ukienda Moshi unaagizwa, "Usisahau kutuletea kahawa."

Uendapo Dodoma utasikia, "Utuletee zabibu na karanga."

Ukienda Tabora wapo tu, "Pliiiiz utununulie asali huko."

Ukienda Morogoro wanaagiza, "Tuletee magimbi basi."

Kama waenda Bagamoyo waagizwa, "Mananasi ya kule matamu usisahau kutuletea."

Unapokwenda Tanga utasikia, "Tuletee machungwa jamani!"

Kama ni safari ya Songea, "Usisahau viazi vya Songea."

Unapokwenda Mtwara unaagizwa, "Tuletee korosho unaporudi."

Unapokwenda Kigoma, "Jamani rudi na mafuta ya mawese na migebuka."

Ukisema safari inaishia Singida wana wewe tu, "Basi utuletee mafuta ya alizeti."

Ukiwaambia unakwenda Mwanza wanaagiza, "Utuletee samaki sana sana Sato."

Kama waenda Bukoba hawachoki tu, "Tafadhali utuletee senene!"

Kasheshe sasa kama safari yako inaishia Iringa. Utasikia sasa, "Niletee mdada wa kazi jamani!"

Duh! sasa ukienda zenji watasema tuletee tende na karafuu
 
Hahahaahha hapo kwenye mombasaa ss ndo kasheshe manake mmmmh labda watataka mahambrii(maandazi)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom