Wasukuma

nawapenda sana nyie wasukuma.
Nikianza kuwafikiria wanaume nawafikiria nyie. Lol!
Nakushauri upate msukuma mmoja utajifunza zaidi na utafaidi kuwa nae, believe me!
Kumbuka fimbO ya mbali haiui nyoka, mie nipo karibu, LOL!
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe

Jamani Pearl oops nimekomea hapo ,nakukaribisha kwetu ujifunze lugha zaidi
 
Nakushauri upate msukuma mmoja utajifunza zaidi na utafaidi kuwa nae, believe me!
Kumbuka fimbO ya mbali haiui nyoka, mie nipo karibu, LOL!

ha ha ha ha!
Ushauri unafanyiwa kazi.
Ila wasukuma wa mjini wamejanjaruka.
Ngoja nifunge safari niwafate wa vijijini kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom