Wasukuma ni nini mbaya?

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,770
Reaction score
26,202
mimi nauliza tuu😱😱
 
Attachments

  • 1452940779566.jpg
    26.8 KB · Views: 678
Hivi wasukuma ndo wakinanani? kila kona wasukuma wasukuma... tuacheni
 
Hivi wasukuma ndo wakinanani? kila kona wasukuma wasukuma... tuacheni
mweeh!! kwa hyo msukuma utasukuma week sa ngapi?
samahoney lakiniπŸ˜€πŸ˜€
 
Any way basi Wasukuma wote ni marais wa hii nchi
 
Mnawazidi nini wasukuma kama siyo kujishaua tu nyumbu nyinyi...

The second largest and fastest growing city in Tanzania is in sukumaland
kwa hyo hiyo first largest tribe in Tz ni wa kina nan?
kama siyo sisi mnaotuita nyumbu mpaka rais wenu anatuchukia kisa Election
 
kwa hyo hiyo first largest tribe in Tz ni wa kina nan?
kama siyo sisi mnaotuita nyumbu mpaka rais wenu anatuchukia kisa Election
The largest tribe in Tanzania is sukuma cover Mwanza, Simiyu, Geita Tabora, and Shinyanga.

Nyumbu mnaongoza kwa kujisifu sifa za kijinga lakini mnazidiwa kila kitu.
 
The largest tribe in Tanzania is sukuma cover Mwanza, Simiyu, Geita Tabora, and Shinyanga.

Nyumbu mnaongoza kwa kujisifu sifa za kijinga lakini mnazidiwa kila kitu.
ukubwa wa t.ako siyo wingi wa m.avi bhanaa!!
nyie largest lakini sisi ni first tribe in Tzeee.
samahoney lakinπŸ˜‰πŸ˜‰
 
ukubwa wa t.ako siyo wingi wa m.avi bhanaa!!
nyie largest lakini sisi ni first tribe in Tzeee.
samahoney lakinπŸ˜‰πŸ˜‰
Mkuu unapenda sifa za kijinga sana, kiasi kwamba uko tayari kubishia ukweli ( National census 2012).

Anyway nyumbu mko wengi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…