Wasukuma na sukari

Wasukuma na sukari

Mwanaume wa dar utamjua tu kwa shobo unawashobokea wasukuma wape dada zako uwe unakujaa kukaa kwao shoboshobo tu utakuja kupakatwa muone kwanza
 
Hii tabia ya kutaja makabila ikome, sawa?. sisi hatuna shida na chai, hata sukari isipokuwepo poa tu, nyie watu wa Dar mtakufa hii awamu na bado.
usichukie best, potezea, ila wa.su.ku.ma kwa miwa mmezidi, ukiwa barabarani kuanzia Igoma hadi Kisesa kando ya barabara ni masala ya miwa tupu! ukifika bango la Zain (St. Mary school) hapo ndo kituo cha wauza miwa...
 
Hii tabia ya kutaja makabila ikome, sawa?. sisi hatuna shida na chai, hata sukari isipokuwepo poa tu, nyie watu wa Dar mtakufa hii awamu na bado.
Vipi mkuu, jiwe limeangukia penyewe?
 
Sasa kama ndo jamii pekee ya kutolewa mifano ya ushamba tufanyeje sasa?Tuwasingizie wengine wakati nyie mpo?
Za wapi hizo mkuu!Kwa hiyo hata kama ushamba huko kwingine kama washikaji wapo wengine ndo hawataniwi!Teh!
 
Acha ukabila ndugu, I know you meant no offense lakini there is no humour kumention kabila la mwenzako
 
Hivi kuna kabila gan lenye watani wengi kama sisi wasukuma
 
Kwetu sukari ni anasa kwanza. Chai yenyewe hatunywi, sukari itakuwa na maana kwetu!!!!??

Ukitaka tuisome namba ficha dona au mtama + mihogo. Ugali ndiyo habari ya maana kule kwetu.

Umeelewa mkuu
 
am proud to be msukuma.....ukiona watu wantusema sana ujue kwa vyovyote vile wanatukubali na uwepo wetu unawafanya mioyo yao iburudike na ifurahi............ukiona msukuma unataniwa unakasirika ujue bado hujajikubali kama watu wanavyokukubali/wanavyotukubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom