Wasukuma na Mapenzi

Wasukuma kazi, mwanamke wa kisukuma analima shamba eka moja peke yake..!!
Hata msosi wao sio wa kitoto, saa lizima anakata kula ugali kilo peke yake..!!! 😹😹😹
 
Sijui kwanini nyuzi za hovyo hivi ndo huwa zinapata wachangiaji wengi lakini ukienda kule jukwaa la biashara na ujasiriamali utakuta nyuzi zimejaa nondo ila wanazipita kama hawazioni. Wicked generation
Nilishindwa kuandika nyuzi za kuumiza kichwa ambazo zinakuwa zako tu na watu wawili au watatu.

Ila ukiandika hizi za kumwaga maji na uchawi uko hapa, tutajaa kama wote!.
 
Wakenyavwakoje kwanza!
 
Bosslady. Thenki yu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…