wasukuma mnanikosha

ha ha ha ha jiran yako mama au wewe mwenyewe........ usikute unaangalia telemundo mixer marichui
 
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
kama umelipenda kabila la kisukuma na me nimekupenda..!
 
Dada wanaume wa kisukuma walikupa nini thread ya tatu hii unawaanzishia

Nakushauri jitafutie msukuma mmoja kabla hawajaisha na wewe uonje raha ya kujaliwa
 
Dada wanaume wa kisukuma walikupa nini thread ya tatu hii unawaanzishia

Nakushauri jitafutie msukuma mmoja kabla hawajaisha na wewe uonje raha ya kujaliwa
kapendea govi huyo
 
Huyo jirani yako mmoja ndo sababu ya kuhitimisha kwa wote?
 
HIZI THREAD ZA UKABILA ZINAKUJA KWA KASI ZIPIGWE MARUFUKU,

Mwingine juzi kaposti wanyamweziiii,

ANY WAY
Kalombo oisee abha:sukuma totogilwe bha"kema bha"peee
 
Siku hizi wasukuma hamna kazi za kufanya, mnajitekenya alafu mnacheka wenyewe sio..
 
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
jiran yako kafanya nn hasa? hii thread haina mashiko kwani haielezi kindakindaki kuhus huyo msukuma alichofanya
 
Sawa kabisa sie wasukuma tunajua kupenda sana na kubembeleza ila Angalizo, tuna wivu sana , pili huwa hatupendi mwanamke awe juu yetu, vingine mwanamke hana sauti nadhani unaona hata kwa mwenye nyumba
 
ni kweli kabisa siku akitokea msukuma kunidondokea lazima nisepe nae
 
Kwa sababu Wasukuma wengi ni ma-domo Zege hivyo uwezekano wa kukosa ni mkubwa baada ya kukuacha wewe.

Endelea kujifariji.
 
Utakuwa wewe ni Mwanaume wa Kisukuma,unaleta ujinga wako ili kuwavutia watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…