Mmmmh!!! siwajui sana hao Waha kwa kuwa sijaishi nao...
Hahaaaaa nawaonaga, hawa hadi salfeti wanafunga shuka au kitenge.
Wewe kuna wakara nao ni balaaa akija kusalimia anakuja n furushi lake mpka liishe ndio anaondoka.halafu wanaweza kuja 5 then wakiondoka wanapishana na wenzao kma 6 wanaingia....tulikua n jirani mkara mitaa y kirumba usipime nyumba ilikua n wa2 kma shule
Hiyo sura ya kijaluo kabisa halafu mnawasingizia wasukuma?omera huyo...
huwajui akina Diamond platnumz, Ali kiba, ommy dimpo, banana zoro, maunda, baba revo, tudy thomas, Linex, etc hao ndo anasema washamba sasa cjui wajanja ni akina nani. waha ni wajanja sana naona anayewaongelea waha hawajui. muha hata akiwa mshamba haimuchukui dakk nyingi kwenda na mazingira na wakati.
Hhhhaaaaaaa hao ni kama wajita tu na wakereweee tena wakijua upo mjinii wale ndugu wenye mimba ,wake zao, watakuja kukaa kwako mimba ikiwa na miezi 6 au 7 mpaka anajifungua anamaliza miezi mitatu ndio anaondoka yaan akitoka huyo anakuja mwingine yaan ni kero balaaa
huwajui akina Diamond platnumz, Ali kiba, ommy dimpo, banana zoro, maunda, baba revo, tudy thomas, Linex, etc hao ndo anasema washamba sasa cjui wajanja ni akina nani. waha ni wajanja sana naona anayewaongelea waha hawajui. muha hata akiwa mshamba haimuchukui dakk nyingi kwenda na mazingira na wakati.
mkuu tombina ndiyo kitu gani ?
huo sio ushamba! wanafunga hivo kwa kuwa nature ya udongo wa kigoma ni vumbi jekundu so hufanya hivyo kuanzia kule ili kuzuia nguo na begi visichafuke zaidi maana ni rahisi kufua kanga moja kuliko begi na nguo zilizomo. be careful unajurge watu fanya utafiti kwanza usikurupuke kama unakunya uwani kwa mtu.
huwajui akina Diamond platnumz, Ali kiba, ommy dimpo, banana zoro, maunda, baba revo, tudy thomas, Linex, etc hao ndo anasema washamba sasa cjui wajanja ni akina nani. waha ni wajanja sana naona anayewaongelea waha hawajui. muha hata akiwa mshamba haimuchukui dakk nyingi kwenda na mazingira na wakati.
huwajui akina Diamond platnumz, Ali kiba, ommy dimpo, banana zoro, maunda, baba revo, tudy thomas, Linex, etc hao ndo anasema washamba sasa cjui wajanja ni akina nani. waha ni wajanja sana naona anayewaongelea waha hawajui. muha hata akiwa mshamba haimuchukui dakk nyingi kwenda na mazingira na wakati.
Mkuu utanidanga nini kuhusu waha?? Labda uongelee mila
Mtu kutoka kahama mpaka Mwanza anafunga furushi na kwenyewe kuna vumbi jekundu?
Wa Runzewe mbona hawafungi mafurushi? Yaani ukikuta mtu katoka Runzewe na furushi lazima awe muha....wanazidiwa hadi na wasumbwa bhana!!
duh ! salamu gani hiyo imekaa kiutata utataHiyo ni salamu yetu ya kisukuma usijali