Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Ulikuwa hujui? Washamba kweli unakuta jitu lina ng'ombe wa kumwaga hata kuoga haliogi
Wataturu vipi?
Daah,, jamani mbona mnatudhalilisha hivo wasukuma,,tumewakosea nini
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani
Wanaanza Wamaasai halafu wanafuata Wasukuma...
Kama umesoma shule za bweni unaweza kuwa na idea namna hawa ndugu zetu walivyo nyuma ya wakati...
Hapo kweli, ila kwa makabila yaliyotajwa hapo wasukuma wanaongoza, wewe achana na wasukuma wa mjini hapa. Wewe nenda ukachukue wa huko vijijini kabisa kwa kila kabila lililo tajwa hapo halafu utaona. Msukuma lazima achukue namba
Ila kiukweli Wasukuma ni washamba sana...
Hhhhaaaaàa naona aibu ni matusi
Waha hawatuzidi jamaniii halaf ndio wafanyakazi kwenye mashamba ya wasukuma wanalima sanaa
Msukuma wa wapi unayemzungumzia?
Waha hawatuzidi jamaniii halaf ndio wafanyakazi kwenye mashamba ya wasukuma wanalima sanaa
Kwani Wasukuma hutokea wapi kama si Mwanza, Geita na Shinyanga...
Kwakweli kina tugende muhila mmmmh wamezidisha.
Mmmmh!!! siwajui sana hao Waha kwa kuwa sijaishi nao...
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani
Basi ukiwajuaa utasema wasukuma wana nafuuu
Au siku moja ubahatike kupanda basi linalotoka kigoma utacheka balaaaa
Shinyanga,Mwanza,Simiyu na Geita,ww unamzungumzia msukuma wa mkoa gani?