Wasukuma mambo mengine muwe mnauliza

hahahaa..bee ndauli..!!umetuonea wahehe sio washamba kiasi hicho..!!
 
Hhhhhaaaa jamaniiii yaan waha wawe wajanja kutuzidi sieee looooo wasukuma nifah ICHANA Avemaria geniveros ladykim

Hahahaaa yaani hawa waha wenye miguu iloliwa funzaaaa??!!! Ambao hata toilet paper hawazijui!!!! Hapana aisee

Wasukuma huwa wanauliza, huyo atakuwa msukuma wa kukopa bana sio mwenyewe yule wa Kwimba ama Ntuzuland!
 
Last edited by a moderator:
Ila kiukweli Wasukuma ni washamba sana...
 
duuu..msukuma kaamua aogelee kabisa....bora kabila langu halipo
 
Kuzidi kabila zote?

Wanaanza Wamaasai halafu wanafuata Wasukuma...

Kama umesoma shule za bweni unaweza kuwa na idea namna hawa ndugu zetu walivyo nyuma ya wakati...
 
Wanaanza Wamaasai halafu wanafuata Wasukuma...

Kama umesoma shule za bweni unaweza kuwa na idea namna hawa ndugu zetu walivyo nyuma ya wakati...
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…