Wastegate yalipuka ?

Vyombo vya usalama vingine vinadai kuwa "ngoma si ya kitoto hiyo", typical al-shabab operation ingekuwa watekaji na mateka wote wameshauliwa, vilevile al-shabab wamewadhibit kwa kiasi fulani hivyo wasingeweza kufanya operation ya namna hii bila ya vyombo vya usalama vya Kenya au nje kujua...wanazungumzia al-qaedah ndio hasa ambao wapo nyuma ya mchezo wote.

Kwani Lesotho,Botswana,Madagascar,Finland,Norway, Trinidada and Tobago, Barbados, Jamaica, Brazil na Venezuela mbona hazishambiliwi? nadhani kuna fundisho hapa kuwa kiherehere si kitu kizuri.
 
Huruma hizi na majonzi haya yangetolewa pia kwa kile wakenya walivyo fanya somalia

Poleni kwa zawadi hio
 
Sio bure umende unakusumbua,according to citizen tv huo moshi unatoka na magodoro yanayowaka ndani ya jengo after terrorists burn mattresses ilo bomu labda umerusha wewe,acha kutumia akili za pampus we bhahau...
 
mhmhmhmmhhm.........wakenya hawatosahau hili km la kuuwana wenyewe kwa wenyewe
 

Aww, it hit him right in the nuts!
 
Hawa jamaa ni wanaume kweli kweli wako 10 wanaisumbua nnchi nzima ya Kenya
 
Hongereni alshaabab hata sisi waislam watz tunaonewa Sheikh wetu ponda amefungwa tunaomba msaada wenu njooni nahuku pia
 
Temea mate chini ndg yangu,labda kama wangekuwa Al-shababu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…