Wastara kapewa Shilingi Milioni 15 na Mkuu wa nchi, yeye kama nani?

MKUU INAELEKEA HISTORIA NA CIVICS IMEKUPITA MBALI SANA. VINGNEVYO UNGEJUA MIKOA YA TANZANIA YOTE, MAKABILA YAO, AINA YA WATU NA SIFA ZAO N.K.
Ni vizur na busara ukitumegea somo hilo maana huenda tupo wengi tusio na maarfa ya kutosha kuhusu hilo suala.
 
Kuna uzi mlileta humu kuwa sisiemu wamemsusa Wastara, leo hawajamsusa mmekasirika tena!!
Mungu anawaona nyie viumbe.
Point hapa ni style aliyotumia Mkuu...ameshauriwa vibaya yale yale ya Babu Seya..Bahati mbaya "wanalumumba" kwa akili zenu ndogo hamtakaa mnielewe..hivi kesho wakijitokeza 1000 wenye matatizo zaidi ya wastara atafanyaje?..
 
Zipo njia za kisomi na kistaarabu

Sitak kuamin msanii mkubwa kama yule hana acc benk.
wangeweza kwenda tu na cheque kuliko kubeba furush lote lile

Sipingan na nia njema ya kumsaidia mgonjwa.

Napinga show off iliyofanywa
Kama unadhani kuonyesha show off ni rahisi onyesha na wewe
 
Point hapa ni stahili aluyotumia Mkuu...ameshauriwa vibaya yale yale ya Babu Seya..Bahati mbaya wanalumumba kwa akili zenu ndogo hamtakaa mnielewe..hivi kesho wakijitokeza 1000 wenye matatizo zaidi ya wastara atafanyaje?..
Wivu kwa wagonjwa na siasa ndio unakusumbua, hamna kingine.
 
Hivi kulikuwa hakuna njia nyingine ya kuonyesha Rais ametoa msaada kwa ndugu yetu Wastara bila kutuonyesha yale mabunda ya pesa ?

Au ndio ushamba aliosema zitto?
Hao hao wangalisema ni fix tu hajapewa! Usisahau hiki ni kizazi cha kutoamini hadi washuhudie
 
Kinachopingwa ni show off za kitoto

Naamini dada yangu wastara ana acc bank. Wangeweza kumuwekea huko then pale wangeenda na cheque.
Wanahamasisha na wengine wamchangie kwanini kwenye harambee mgeni rasmi hutafutwa mtu anaye eleweka hawabebi ambaye hata wakisema achangie elfu 20 hana vipi jamani katoa yeye kama yeye sio serikali
 
Back
Top Bottom