Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,251
Msanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa.
1452085572136.jpg
1452085649702.jpg
1452085663189.jpg

#Hapa kazi tu
#Hatunywi sumu wala hatunyongi
#Mtaisoma namba
#CCM mbele kwa mbele.
 
Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.

Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?

Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?

Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom