Wastara aolewa kwa mara ya saba

Yawezekana huyu dada hakubali kuzini; na ndio maana anajaribu kukubali kuolewa badala ya kuzini na hao wanaume wanaoonesha nia ya kuwa nae.

Mwanamke mwenye kujiamini katu hakubali kuliwaliwa kipumbavu nje nje kama hawa wengine akina nanii hii, maana ukimtajia kumpenda na kuonesha nia ya kumhitaji yuko tayari kukukabidhi uke wake, ila kwa huyu dada inaonekana sera zake za mahusiano ni wazi kuwa ukitaka kuwa nae ni lazima umuoe ndio muendelea na maisha.

HEKO DADA MKUBWA, MTAALAMU WA KUWATIA WANAUME WA DAR KWENYE NDOA
 
Hivi unaijua nguvu ya mkuyenge wewe? kupigwa nao anapigwa nao sana tu,ndio mana hakuolewa akiwa bikra
 
X7 Mfululizo?
 
Mijegede 7 imepita kwenye Tund* moja, walah kuna shida pahala!
 
Huyu alikula pesa za michango Leo anataka achangiwe tena na Watu wale wale?
 
Safi tu haya ni matokeo na maagizo ya allah ya oa achika 7X.
 
Sasa atakuwa amefikisha mara ngapi?

Juzi kati nilisoma mahali analalamika kanyweshwa soda ya sumu, anaomba serikali imsaidie...

 
Ndoa au uchangu uliohalalishwa na uislam
 
Yaani wewe MBWA TAKATAKA una chuki isiyojificha na UISLAMU

Hata sehemu isiyohusika na UISLAMU utachomekea tu

Uzuri kwa aliyesoma UISLAMU hapati shida
Heri mimi mbwa kuliko wewe kuuummy. Uislam na ugaidi hakuna mpaka na uchangu wa kuoa na kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…