technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Wakuu Hali ni mbaya leo nimeshudia mtu akitekwa kimara
Nilikuwa kwenye gari yangu nashuka town aise mtu katekwa katolewa kwenye gari yake kawekwa kwenye pro box halafu kupelekwa direction ya town kupitia morogoro road.
Aise wakuu Hali ni mbaya kuliko tunavyodhani
Wastani wa watu 5-10 wanatekwa na kupotea kwa siku Tanzania
Chagueni kuendelea kuuwawa au tutoke tarehe 29/10/2025 watuue wote au tuendelee kuvunjiwa nyumba na kutekwa kufirwa na kuuawa na miili yetu kutoonekana Tena.
Leo Ni mtu wa pili anatekwa nashuhudia live nikiwa kwenye foleni.