and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Wastaafu wote wanashauriwa kwenda kusomea Mapishi kwa ajili ya maandalizi yA AFCON 2027.
Wanashauriwa na nanWastaafu wote wanashauriwa kwendak kusomea ujuxi unsohitjiks ns fani zao.
Na Makamu Mwenyekiti [Mstaafu Mwenzao]Wanashauriwa na nan
Makamu mwenyekiti ajifunze kutokutoa ushauri, si wote wastaafu wote wako vibaya au wanahitaji veta. Wako wamejipanga hawana shidaNa Makamu Mwenyekiti [Mstaafu Mwenzao]
VETA iwe lazima kila raiaWajomba sasa mnaleta utani, mzee wa miaka 60, 70, 80, 90,100, aende VETA kusoma nini wakati anajilia pensheni yakf taratibu akisubiria muda wake wa kugag dunia? Hii ya kusoma VETA inawahusu vijana, hasa hawa wenye degree wasio na ajira wanaotokwa povu jingi baada ya kupewa ushauri wa kwenda kupata stadi za ufundi VETA
ni sera ya nchi wakiamua iwe hivyo itawezekana tu kama ilivyowahi kuwa JKTVETA iwe lazima kila raia
muachage mizaha, hiyo inawahusu vijanaWastaafu wote wanashauriwa kwenda kusomea Mapishi kwa ajili ya maandalizi yA AFCON 2027.