Niwie radhi Mkuu. Ugumu wa maisha hautokani na serikali kutokulipa hayo Mafao. Ni matokeo ya kutokujipanga vyema wakati wa Ajira.Habari, Naandika uzi huu kwa machungu makubwa! Mara nyingi huwa sipendi kuandika andika humu,
Mzeewangu alistaafu kazi katika shirika la reli la Tazara mwaka 2005-
ni miaka 11 mpaka sasa anafuatilia mafao yake pasipo mafanikio yoyote. Wazee hawa wana hali mbaya sana mitaani kwa sasa. Ombi langu kwa wahusika, muwasaidie wazee wetu hawa waliojenga reli hiyoo miaka ya 1970's na kulitumikia Taifa kwa uzalendo na weledi wa hali ya juu.
Binafsi, ninataambua juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kusimamia ustawi wa watumishi wake. Ninaomba wahusika waanze na hili, wawakomboe wazee wetu hawa ambao wamekata tamaa kwa hali ngumu ya maisha. Kuna wakati huwa najiuliza Wazee wetu hawa walimkosea nini Mungu?
halaf bila aibu hadi vyombo vya habari viliandika eti rais aonyesha jeuri ya pesa kwa kulipa deni la taifa.Kujitia Ufahar wakununua mandege yanayosimangwa na kutenga bajeti yakuhamia dom,kulipa madeni ya nje wakati mnadaiwa ndani ni kujitaftia lana.
Kuna kipindi serikal ya chama cha mapinduzi ingejishtukia na kuwalipa hawa wazee wa watu.
Kwani ccm ndio Mungu?Habari, Naandika uzi huu kwa machungu makubwa! Mara nyingi huwa sipendi kuandika andika humu,
Mzeewangu alistaafu kazi katika shirika la reli la Tazara mwaka 2005-
ni miaka 11 mpaka sasa anafuatilia mafao yake pasipo mafanikio yoyote. Wazee hawa wana hali mbaya sana mitaani kwa sasa. Ombi langu kwa wahusika, muwasaidie wazee wetu hawa waliojenga reli hiyoo miaka ya 1970's na kulitumikia Taifa kwa uzalendo na weledi wa hali ya juu.
Binafsi, ninataambua juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kusimamia ustawi wa watumishi wake. Ninaomba wahusika waanze na hili, wawakomboe wazee wetu hawa ambao wamekata tamaa kwa hali ngumu ya maisha. Kuna wakati huwa najiuliza Wazee wetu hawa walimkosea nini Mungu?
wee huoni ama haikuumi IPTL inaenda kulipwa billioni 320 licha ya kila siku kulipwa 400m? Daraja la salender litagharim 500billion. Hule mradi wa mwendokas ulikuwa 600billion na watu wamejimilikisha wanaendelea kula.Niwie radhi Mkuu. Ugumu wa maisha hautokani na serikali kutokulipa hayo Mafao. Ni matokeo ya kutokujipanga vyema wakati wa Ajira.
Haina tofauti sana na Sasa ambapo kuchukua mafao ni mpaka mtu utimize miaka 50. Maana yake inabidi ujipange mapema kupunguza utegemezi kwa Serikali.
Jamani, Tuache kuitegemea Serikali kwa kila kitu. Serikali inahubiri kuwasaidia wananchi ndio hiyo hiyo inayowakandamiza wananchi.
Sidhani kama malipo haya ya wastaafu ni makubwa kiasi kwamba mtu ukilipwa basi na Umaskini unauaga.
I don't know. May be. ILa vijana wa Leo kupitia hizi changamoto tujifunze kuweka hela na tutafute namna Nzuri za kuwekeza ili baadae tuweze simama imara kiuchumi.
Kwa Asilimia kubwa Sisi tusio na hela ndio tunaongoza kwa kuilaumu serikali.
Yaani ni sawa na Mtu Mzima umeoa halafu unategemea Baba yako akulishe wewe na Familia yako.
We need to change. We need to Grow.
Next time you shake ur head well before contributing!Niwie radhi Mkuu. Ugumu wa maisha hautokani na serikali kutokulipa hayo Mafao. Ni matokeo ya kutokujipanga vyema wakati wa Ajira.
Haina tofauti sana na Sasa ambapo kuchukua mafao ni mpaka mtu utimize miaka 50. Maana yake inabidi ujipange mapema kupunguza utegemezi kwa Serikali.
Jamani, Tuache kuitegemea Serikali kwa kila kitu. Serikali inahubiri kuwasaidia wananchi ndio hiyo hiyo inayowakandamiza wananchi.
Sidhani kama malipo haya ya wastaafu ni makubwa kiasi kwamba mtu ukilipwa basi na Umaskini unauaga.
I don't know. May be. ILa vijana wa Leo kupitia hizi changamoto tujifunze kuweka hela na tutafute namna Nzuri za kuwekeza ili baadae tuweze simama imara kiuchumi.
Kwa Asilimia kubwa Sisi tusio na hela ndio tunaongoza kwa kuilaumu serikali.
Yaani ni sawa na Mtu Mzima umeoa halafu unategemea Baba yako akulishe wewe na Familia yako.
We need to change. We need to Grow.
Sipingani na wewe... ila kuna kada za chini maisha ni ya kuungaunga sana so mfanyakazi anasubiri mafao ili walau apate lumpsum ya kama 10 - 15,000,000 au hata 50 - 100m. So hapa kuna wanaoumia kwa dhiki na kisaikolojia....lakini wapo wale ambao maisha yalikuwa na nafuu mda yupo kazini na labda alikuwa na uwezo wa kuweka akiba mtu km huyo atakuwa anaathirika kisaikolojia zaidi maana anaona anadhulumiwa waziwazi....hata watumishi wa umma wanaumia kwa jinsi serikali isivojali kuwalipa malimbikizo ya hela wanazoidai...kinachoumiza zaidi halmashauri wanaitisha watu wanye madai mbalimbali wapeleke uthibitisho na kisha kujazishwa form..then kimyaa...halaf unasikia waziri anasimama na kusema kuwa ETI SERIKALI HAIDAIWI TUMESHALIPA MADENI YOTE...hiv kama wewe hujalipwa zaidi ya miaka 7 utajisikiaje? Inauma sanaNiwie radhi Mkuu. Ugumu wa maisha hautokani na serikali kutokulipa hayo Mafao. Ni matokeo ya kutokujipanga vyema wakati wa Ajira.
Haina tofauti sana na Sasa ambapo kuchukua mafao ni mpaka mtu utimize miaka 50. Maana yake inabidi ujipange mapema kupunguza utegemezi kwa Serikali.
Jamani, Tuache kuitegemea Serikali kwa kila kitu. Serikali inahubiri kuwasaidia wananchi ndio hiyo hiyo inayowakandamiza wananchi.
Sidhani kama malipo haya ya wastaafu ni makubwa kiasi kwamba mtu ukilipwa basi na Umaskini unauaga.
I don't know. May be. ILa vijana wa Leo kupitia hizi changamoto tujifunze kuweka hela na tutafute namna Nzuri za kuwekeza ili baadae tuweze simama imara kiuchumi.
Kwa Asilimia kubwa Sisi tusio na hela ndio tunaongoza kwa kuilaumu serikali.
Yaani ni sawa na Mtu Mzima umeoa halafu unategemea Baba yako akulishe wewe na Familia yako.
We need to change. We need to Grow.
vijana tukaze buti hili linatufundisha kwamba serikali haikutambui utakapokuwa mzee.hivyo hakuna haja ya kupoteza nguvu nyigi kuitumikia serikali kwa sasa, tuchape kazi binafsi. wakati wewe utakapokuwa mzee serikali haikujali.duh maskini wazeee wetu najua wanatamani leo yao inge geuka kuwa juzi jao wasingefanya kosa tena,ndo hivo basi tena majuto ni mjukuu wanasemagaHabari, Naandika uzi huu kwa machungu makubwa! Mara nyingi huwa sipendi kuandika andika humu,