Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
kwa hiyo waziri amepigana!
hajapigana amepiga mtu amempa mtu.discipline
kwa hiyo waziri amepigana!
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Christopher Sanya ameumizwa kichwani hadi kupelekea kufungwa bandeji baada ya kupigwa ngumi na Wassira al maarufu Tyson.
Tukio hili limetokea jana kwenye kikao cha ndani baada ya Wassira kumtuhumu Sanya kuwa anamchafua kwenye kampeni ya kura ya maoni ya chama hicho jimbo la Bunda.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania.
Kweli huyo ni Tyson!
sokweeee atapigana
⚫Tyson katika ubora wake.
samahan mkuu ila sidhan kama ni vyema sana kumchambua mtu kimaumbile ambavy ameumbwa na Mungu na hakupanga aweje yy, ila uccm wake na sera zao dhaifu ndo za kukashfu.nawasilisha
Huyo ndiyo alitaka kuwa raisi wetu, huenda angetufaa wakati wa vita.
Angefanikiwa kuwa rais kitengo cha MOI kingelemewa....!!!
Safari hii Wassira huo ubunge kuupata tena labda akagombee kwao Gombe. Lakini kwa Bunda, wanabunda tunasema Bulaya atosha.