EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Christopher Sanya ameumizwa kichwani hadi kupelekea kufungwa bandeji baada ya kupigwa ngumi na Wassira al maarufu Tyson.
Tukio hili limetokea jana kwenye kikao cha ndani baada ya Wassira kumtuhumu Sanya kuwa anamchafua kwenye kampeni ya kura ya maoni ya chama hicho jimbo la Bunda.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania.
Tukio hili limetokea jana kwenye kikao cha ndani baada ya Wassira kumtuhumu Sanya kuwa anamchafua kwenye kampeni ya kura ya maoni ya chama hicho jimbo la Bunda.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania.