Wassira si msafi; achunguzwe!

Shetani naye alikuwa malaika tena mkuu kabla ya kuasi pamoja na majeshi (mapepo & majini) yake.

Kasome tena Mkuu. Shetani hakuwahi kuwa Malaika. Shetani ni shetani tu.
 
Mkuu kumbe ana skendo ya kula mpaka hela ya hospital?kweli huyu mzee ni muuaji!

Mi nilikuwa nadhani kashfa yake kuu ni ya kumpora mzee Ndege mke na kuisambaratisha familia tu,kwa kua hii kashfa naijua wazi wazi,na kwa kutumia cheo chake alitaka kummirikisha hawara wake hiyo ndege insurance,na alileta mkaraganyiko mkubwa sana,kiasi kwamba aliwarubuni watoto wa marehemu kama Amani na Seba wakaweza gawanyika na wengine kuitilafiana!nalijua ili vizuri
 
Kuna watu humu ukizungumzia machafu na meusi ya viongozi wao wanakuwa kama simba mweny njaa ijapokuwa wanakuwa wanajua uchafu wa viongozi wao.Tusidanganyane hapa viongozi wengi wa Kibongo wawe wa CCM au CHADEMA wote ni wezi tena ni mapaka Pori.Wakati fulani tukubali ukweli bana!!!
 
Halafu eti anataka Uraisi
 
Umeniwahi mkuu hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo!!Mleta hoja tunaomba majibu tafadhari!

Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!
 
Sio tu kupora mke bali na kusambaratisha familia ya Mzee ndege na kuua kampuni
Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!
 

u make my day.
 
Mlikuwa wapi siku zote? baada ya yeye kuibuwa sakata la kuliwa fedha za kanisa na Slaa? kwi kwi kwi, teh teh teh.

kwani kashfa ya dr. Slaa kula ela ya kanisa yaliibuliwa na wassira? Au ka-update tu. Tatizo kumbukumbu ndogo, acheni kunywa viroba.
 
Shetani naye alikuwa malaika tena mkuu kabla ya kuasi pamoja na majeshi (mapepo & majini) yake.
Mkuu unamaanisha Majini na Mapepo ni Mashetani?? Mbona kuna waungwana wanadai vitabu vyao vinasema eti Majini ni ndugu zao? I mean Majini ni wajomba zao, shemeji zao, wake zao, waume zao na wengine ni Baba zao? Fafanua mkuu
 
Ivi jaman Wasira ni wakusema haya leo kweli? atuambie basi mke wake mama Rosemary Wambura mbona amemuacha na kwenda kuishi na mke wa mtu? na mbona huyu wasira halioni ***** lake? amewaambia wana arumeru kuwa kuna binti wa miaka 26 kampangia nyumba Dodoma au yake anadhani hayajulikani? na jana usiku alipokuwa amelewa Naura spring hotel akawa anaongea matusi ya nguoni bado tu ana udhu?
CHADEMA VYATUKENI NANYI.
 
Mi niliposoma gazeti la taarifa za wasira nilijua atajibiwa tu na bado mengi yanakuja at last JF itatangaza mgogoro nae rasmi.
 


Wasira Kachokoza Nyuki, angemwuuliza BWM yaliyomkuta.. arumeru ni kipima joto cha viongozi wa CCM, tusubiri lleo jioni Dr Slaa atajibu mashambulizi.
 
hahaha..
'ukimegewa demu wako nawe tafta mnyonge ummegee,haitapunguza maumivu ila itarudisha hadhi ya kiume'..
'ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe'..
MWANA FA KICHWA SANA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…