tafadhali waache watoto nje ya hili,Ndege alikuwa diwani wetu na amekufa kwa kale kaugonjwa. Ahhhh nimegundua ndo maana tyson alikimbilia kwa babu samunge kupata kikombeee! Du mbona gati hakwenda? Akina mama wa mjini kitimoto na bia lazima apendeze hata kama ameathirika. Ndo maana mwanae ndese aitwae seba ameshikia bango mambo ya ukimwi ehhhhh!!!!
let tha woman liv ha life u pipo au na nyie mnamtaka wassira??????
muhechi, huyu ndio nani mwennye gwanda la kijani anayehutubia?
Weee BLANDESthis jamii forum is about people thinking greatly u know about great thigs.I dnt believe tha poaster of this topic wa parraller to our motto.Mweshimiwa wassira life is about him and his family.kwani kua na kampuni haruhusiwi jaman aftaroll sio yy anaeendesha those companies.Mama Ndege a.k.a mama wassira mnamuonea bure jaman yy ni binadam kwani doesnt she need a husband eeeeh???watu mue na cha kuandika kama hamna subilini wenzenu waandike mcomment.........................................................GROW PEOPLE
Weee BLAZEreal man dont talk bout otha pipos stuffs lyk women.......ts either guys in here hav started bein women.......am a man looking 4 one
let tha woman liv ha life u pipo au na nyie mnamtaka wassira??????
Jamani huyu Mama!! Huyu Mama Ndege/Wassira sio Diwani Mwananyamala msimpandishe chati..Huyu Mama ni TAPELI/MWIZI, Hivi nimeshangaa anazungunzwa mpaka humu nikaguswa nichangie kwa mara ya kwanza JF..Aah, Siwezi kuongea sana sababu sisi tuko nae MAHAKAMANI, Kapora Viwanja vya Vilema alafu kisha akavamia na Shamba la Mume wangu Madale akidai lake, maeneo karibu na kwa KAWAWA..Hana Haya, nyarakati zake magumashi alafu anahonga kweli wapi, Mungu Yupo...Yaani anajulikana ndio tabia yake...Jamani huyu..nimeshangaa tamaa hizi eti viongozi..yaaniHaya hayawezi kuwa mambo binafsi kwa kuwa yanahusisha value za watu wetu. hivi tunawafundisha nini watoto wetu kama tutabaki kukumbatia viongozi wasio na maadili? Huyu bwana sijui anajiamini nini. Inasemekana tangu arudi kwenye awamu hii ameiba gari la serikali lenye thamani ya zaidi ya 250m alilopelekewa akalikataa lakini hakulirudisha na akapelekewa lingine tena la 350m. HaHii story tunayohapa habari lakini kwa kujipendekeza Bashe kaizuia isitoke, na kama kawaida yetu waandishi njaa tumenywea hata kwa kampuni inayotukopa mishahara. Mchezo huu unafanywa na viongozi wengi sana kutumia kodi zetu kuwapa anasa wake na watoto zao. Hivi unafahamu kwamba zaidi ya 50% ya mishahara na mapato yetu yanachukuliwa kama kodi? Kodi hii inayotumiwa na kikwete na maswahiba wake kutanua. Heb tuulizieni wasira juu ya magari haya. Eti wa mahusiano asante kikwete program mkishakua na kiongozi kilaza ni kazi kweli kweli. Ndio maana tunakubali kwamba 2015 ni mbali sana, tumepigika vya kutosha. Huyo mama mwenye tamaa alimtaka wasira kwa pesa za Ndege, luckily wakina Seba wakamshughulikia fairly, yaani shangingi aje kuchakachuliwa kwenye kitanda cha baba yako, hapo ndio nampa heshima zote seba, hayo ndio mnayaita mambo binafsi? hivi mtaanza lini kuwa serious?