hivi kwa akili yako unafikiri jk na vibaraka wake (akina Wasira, RA, EL, etc) wanaitakia mema Tz? Wanaohatarisha amani ni viongozi wa ccm ambao wameweka rasiliali zetu kwa mafisadi wachache huku walio wengi wanateseka!
Tatizo lenu wana-CCM mmezoea kuongea na kusadiki uongo. Chadema wameenda kusema ukweli kwa wananchi kimewauma mpaka mmeanza kuongea uongo tena eti wanachochea chuki. Hivi wewe unatarajia kutakuwa na amani kwa watu ambao hawatendewi haki, wananyonywa huku wakijitambua, wanakandamizwa na serikali dhalimu inayotukuza ufisadi huku watu wakifa mahospitalini kwa kukosa dawa na chakula? Amani itakuwa kama kuna ubaguzi kati ya walalahoi na walionacho?Kuna many valid points anaongea wasira na ni muhimu chadema kuzizingatia... tusikurupuke kuchukia kila kiongozi wa serikali anapoongea
CDM can win people's heart bila mihadhara yenye language zinaziashiria uchochezi
WASIRA yuko sawa ameonyesha jinsi gani SERIKALI ilivyo makini sana kulinda nchi na wananchi wake.AMANI ya watanzania haiwezi kubinafsishwa mikononi mwa wasioitakia mema nchi yetu. kuwapa NCHI wapenda fujo ni KUMSALITI Nyerere.
we kijana umejuaje Wasira ni Malaya:
uliwahi kumuuzia mku** wako?
kwanza unafanana nae hapo bila shaka Mama yako alifil*** ukazaliwa.
punguza kuuza hatukuhitaji hata huku kwetu wapo.
kum**6 we!.
Wasira jana umejivua nguo mbele ya familia yako na wapiga kura wako,unakiri kwamba ulikuwa hufanyi kampeni bali ulikuwa unamtukana Dr Slaa Rais wa Moyoni!SHAME ON YOU WASIRA.
Hivi huko hifadhi ya Gombe hawana taarifa kuwa kuna mfugo wao mmoja unaranda randa huku uraiani unaingia mpaka kwenye studio za TBC?