Wassira ni matendo wala si maneno!

Wassira ni matendo wala si maneno!

mtahengerwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
384
Reaction score
173
Mhe.WASSIRA siku moja baada ya kuteuliwa kwa Mara ya tatu katika uongozi waserikali ya awamu ya nne inayoongoza dr.Jakaya Kikwete kuwa waziri wa kilimo chakula ba ushirika alitangaza kuwa serilikali itaanza kuwalipa wakulima Mara moja!

Hivi sasa serikali imeanza kuwalipa madeni ya wakulima hao na mhe. WASSIRA anafuatilia kwa karibu zoezi hilo.Jana alikuwa wilaya ya namtumbo kufuatilia ulipaji huo na kujionea shughuli zinazofanywa na wakulima hao.Kwa sasa anaendelea na zoezi hili la kujionea zoezi la ulipaji madeni ya wakulima na kujionea shughuli za kilimo kanda ya nyanda za juu kusini!

HONGERA sana WASSIRA tunataka viongozi kama wewe watanzania wote wanakutakia kila la kheri katika safari yako kuelekea plot no 1
 
Huu uzi umeletwa tarehe 1, january, 2015. Mpaka leo tarehe 4 ina comment 1 tu ni dalili tosha hakubaliki..... mkajipange umpya but my worry, time is out.....
 
Back
Top Bottom