Lah! Masatu umetokea wapi tena? Sijakusoma kwa muda mrefu sana nikadhani labda ulisweka kunakohusika; si unaijua tena nchi yetu. well karibu tena JF.
Swali lako: ninataka kuprove kuwa (a) Wasira Massato (somo yako) amechoka sana. Yeye alidai vijana ni wavuta bangi, lakini inaelekea kuwa yeye ndiye anayezidiwa zaidi na madawa ya mafua. (b) Alifanya makosa kulishambulia gazeti la mwananchi lilipotoa picha yake akiwa amelala, kwani kumbe hiyo ni ada yake.
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa!Akistuka tu ataunga hoja mkono asilimi mia.kazi kweli kweli katika nchi ya danganyika.
aliugua tena mafua!!!Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:
Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia gazeti la Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga yeye picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amekunywa dawa ya mafua
View attachment 35856
Hata hivyo, jana tena ameonekana bungeni akiwa amelala.
View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha sasa na hivyo anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa awaachie uongozi vijana, siyo kweli kuwa vijana wanavuta bangi kama alivyodai
wacha yalale tu. Siku tutapozingira hilo bunge na kuanza kutembeza kichapo. Wataamka tu!
<br />jana nilimuona alikuwa anasoma hotuba..yaani alikuwa anasogeza karatasi karibu na macho kabisa kama anaangalia microscope! anyway ..anaweza akawa na matatizo ya macho lakini na uzee pia umeshamiri!
Nadhani anatumia zile dawa maana yule mwanamke aliye naye anao siku nyingi sana, na mmewe alifariki nao kwa tetesi za redio ugali, maana hata ile rangi yake ya usoni Mzee wetu mhmmm siamini kama ni mzima ukiachiambali tumbo alilofuga kwa kodi na peg za whisky.
Hivi wewe Kichuguu una tatizo gani na mzee Wassira? Kwa kuanzisha hii thread unataka kuprove nini hasa?