Anatafakari!

Viongozi wa ki-afrika kundoka kwenye madaraka hadi wapigwe tanganyika jeki.

Kesho mtamsikia huo ni uchochezi unahatarisha usalama wa taifa.
Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:
Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amkunywa dawa ya mafua
View attachment 35856
Hata hivyo, jena tena ameonekana bungeni akiwa amelala.
View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha na ahivyo sasa anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa.
Umekosea kidogo, huyu jamaa siyo wa Nyambitilwa ni wa pale Kabasa Kung'ombe karibu na Manyamanyama. Enzi zile za zamani alikuwa katibu wa TANU wa hicho kijiji cha Kung'ombe!Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:
Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amkunywa dawa ya mafua
View attachment 35856
Hata hivyo, jena tena ameonekana bungeni akiwa amelala.
View attachment 35857
Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha na ahivyo sasa anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa.
Lah! Masatu umetokea wapi tena? Sijakusoma kwa muda mrefu sana nikadhani labda ulisweka kunakohusika; si unaijua tena nchi yetu. well karibu tena JF.Hivi wewe Kichuguu una tatizo gani na mzee Wassira? Kwa kuanzisha hii thread unataka kuprove nini hasa?
Angekuwa mbunge wa upinzani, magamba yangeomba mwongozo kwa bikiroboto.Posho za nini sasa mtu analala namna hii. Tanzania nchi ya mazonge

umeishaambiwa posho ni kwa ajili ya kukalia kiti(seating allowance).ili mradi wakati amelala alikuwa amekali a kiti basi anastahìli posho.Posho za nini sasa mtu analala namna hii. Tanzania nchi ya mazonge