Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

naomba picha ya Sokwe kalala bungeni kila kona ya Arumeru mashariki. Tumalize kelele.
 
Jamaa angeishia kwenye hoja ya kumtaka Dk.Slaa ajibu kwa nini alifukuzwa upadri lakini he just had to go personal.Basi hata kama unaenda a bit personal na siasa za majitaka hakikisha wewe angalau kwako kusafi.Kumbe na yeye amenyang'anya mke wa Mzee Ndege ndiye anaishi naye!!!.Akajaribu kupeleka mahari ukuryani wakamwambia mahari haipokelewi mara mbili(Madudu yake yapo kwenye thread ya 'Wassira mbona unaishi na mke wa mtu?')
Na kuhusu utukutu na kuoa kwa Nassari au sijui kuonekana na mama wa kizungu hayo mambo yako extremely personal yaani asijaribu ku-venture hiyo sehemu.Asisahau alijaribu kutongoza binti mbichi wa Chuo cha St.John kwenye hoteli moja maarufu jijini Dodoma akaambiwa mzee pamoja na hela zako lakini sijavutiwa na type yako(primate type) akaondoka amekasirika kama Silverback gorrila anayejipiga kifua.
I used to think that this guy's body is the only thing that got stuck in early stages of evolution now i realize even his brain is still ape-like.
 
Zamadamu (wasira) aeleze kilichomfanyaga ahamie NCCR baada ya kunyimwa uwenyekiti akarudi ccm.na nyerere aliwahi kusema hafai kuwa kiongozi.huyo shoga wenu asubiri tarehe 1.zamadamu mzima anazunguka kumnadi shoga.ams wote wanajua uchafu wa huyo sio.mzee utaibika unanadi kisicho ridhiki subiri picha zinatoka amerika alikokuwa anasoma,uone uchafu wake.picha ni bure.
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
 
kuna kikundi kidogo cha CCM la-kusinzia, hakijui adui hasa ni nani... leo Lowassa, Kesho Dr. Slaa kehsokutwa ufisadi, siku inayofuata JF nk.

wanahangaika sana, and the main reason ni kwamba "tangu wapewe nafasi, hawajawahi hata siku moja kufanya anything productive zaidi ya kula, na kuny@... I guess nzee wa usingizi falls into that group

We need leaders who will push our country forward, not leaders who have no agenda except kurukaruka na kutoa povu....
View attachment 49567
 
Dr Hakufukuzwa upadri aliacha mwenyewe.Ingekua ni Kadinali Pengo ndo kazungumza hayo walao tungeelewa kumbe ni WASIRA!
 
Inamaana viongozi woooote wa dini ya kikristo hawajui ufisadi huu wa Slaa? Sijawah kuwaskia wakimtuhumu wl kumkashifu na walawana ccm including kikwete aliyekua na upinzani mgumu sana 2010 toka kwa SLAA hakuwah kutoa tuhuma hizi, ila tuhuma hizi zimetolewa kwa mara ya 1 na wassira tena kwenye uchaguzi wa jimbo!? NNAMASHAKA SANA
 
Hilo sio kosa la kufanya ufukuzwe upadri...labda kama sio upadri wa kanisa ni NGO.
Pia mambo ya personal issues yanatupotezea muda wetu watanzania kwani hayana uhusiano wowote na uongozi...ndo maana south africa wanae Zuma.
Na yeye Wassira aeleze aliona nini akahama CCM,baadae alikumbuka nini akarudi CCM.
Kwa sababu gani walimnick name TYSON?
 
Halafu watu wakianza kurusha madongo watu wataanza kuwabembeleza jamani heshimu watu wazima... yangu macho...

Mm nakubaliana nawewe mia kwa mia Cdm wakianza kurusha mawe utasikia campeni ziwe za kistaarabu jamani magamba
 

acha mawazo ya ki ?pi'mbi dogo
 

Mbona hizi propaganda za Dr slaa walishazisema tokaa mwaka 2010 na bado hawakufanikiwa ndio leo kaona azirudie. Tanzania ya leo sio ya jana.
 
Lakini badala ya kumtukana jibuni hoja,watu wajifunze kujibu sio kutukana haisaidii sana
 
We nae Tangu mwigulu akuvunjie ndoa una kiherehere
Maisha ya na wasifu wa dk slaa una viashiria vya mashaka lakini kuna watu hapa jf hawataki tuhoji tuhuma dhidi ya slaa. Wapo wanaothubutu kujibu kwa niaba yake
 
wameamua kumuokoa mkapa kwa kuzusha issue ya dr slaa...
 
Wasira anaona tatizo gani kwa nasari kutembea na bibi wa kizungu? au naye anataka? mwanamke ni mwanamke with regardless of age and colour.
 


Natoa changamoto:

1. Ukiwa unaanza kujenga hoja kwa uwoga huu, basi ni hoja ambayo inalenga kuvutia upande mmoja wa hoja au kuonyesha kuwa wewe mtoaji wa hoja unalenga wasomaji/wasikilizaji wakuelewe hivyo ambavyo wewe unataka iwe hivyo.....tazama ulivyoanza"nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga"Kwanini unadhani mwanzo huu ni mzuri kuujengea hoja..nahisi ni siasa!!

2. Tatizo langu ni busara ya Mzee WASSIRA, siku sio nyingi zilizopita alisikika akisema kuwa Mh. JOSEPHAT KIBOKO NYERERE hana busara kwa kusema maneno au lugha chafu dhidi ya MKAPA..sasa haya maneno yake yasiyo hata na ushahidi wa kuthibitisha hayo anayosema yanatoka wapi.....???

Anasema hivi "
a. Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchi duniani papa katika miaka ya tisini" Atuambie taarifa hii imewekwa hadharani wapi, na akina nani wameweka...otherwise huo ni uwongo and he's trying to buy political votes kutoka kwa wasioweza kujua ukweli au undani wa mambo haya.

b. kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri. Kwa namna ninavyojua SIASA za Tanzania jambo hili kama lingekuwa limefanyika sina hakika mpaka leo hii habari hii ingekuwa ni bora kutumika leo mwaka 2012 na SIO mwaka 2010 wakati wa UCHAGUZI..maana siasa inakuwa na timing zake ili adui yako apate kukuua politically ni lazima atafute muda muafaka wa kufanya political assassination and NOT anything else.

c. HII hoja nayo haiuziki/ kununulika save for those who dont trouble themslves. Ninaamini ktka kila ofisi kuna utaratibu wa kufanya malipo na retirements. Sasa ili sisi wasomaji tuweze kuamini ni bora wanaotoa hoja hizi waje na data kamilifu, mfano: Mhasibu aliyefukuzwa ni fulani (kwa jina), habari imethibitishwa na... (jina, cheo ktk ofisi iliyotuhumiwa,), tarehe ya tukio, kwa sasa mhasibu ni fulani (labda)...., na madai ya aliyefukuzwa yalikuwa ni......VINGINEVYO HUO NI UWONGO NA UPUUZI...AND IT RATHER INTENDS TO EMBRACE POLITICAL IGNORANCE
"Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.

d.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini. PERSonal attacks??? MZEE hana ufahamu, i cant buy hizi propaganda.

e.
Joshua Nassari hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam. YAANI wassira....KWANINI UNASEMA MAMBO HAYA YA UWONGO lakini unajua unaowafanyia hivyo hawawezi kukuhoji, pia yaani BABA NASSARI akueleze wewe ukorofi wa mtoto wake wakati huu wa uchaguzi na sio vinginevyo??

HAYA KILA HERI KWA WANA ARUMERU MASHARIKI, ila uwongo, ujuha, rushwa na uovu mwingine hautavijenga TANZANIA na siasa ni sehemu muhimu katika MAISHA yetu tukikosea katika kuchagua viongozi BORA tutaendelea kujadili ever bila CHANGES.




 


walieneza propaganda nyingi sana kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 lakini moto wake waliuona. Watanzania wa leo hawadanganyiki kirahisi kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…