Wassira: CCM Ikisimamisha Mla Rushwa Itapoteza Dola

Wassira: CCM Ikisimamisha Mla Rushwa Itapoteza Dola

chakii

Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini uwasilishaji wake usiwe sahihi Wasira anazungumzia rushwa lakini mtu anayesafiri kwa ndege au herikopta si lazima awe mla rushwa.Huo ni wivu wa kike.
 
Last edited by a moderator:
asituchoshe huyu .kwanza tayari anayo busineess plan nzuri tuu .akafungue zoo bustani ya kufugia wanyama.2015 ukawa ndio mpango mzima
 
Hatutaki mtu asiye na maadili. Tunataka rais role model wa usafi, ujasiri, maono
 
Amesahau kua naye amewahi kupatikana na hatia ya kutoa rushwa na akafungiwa kutojugombea ubunge kwa miaka 5! kweli nyani haoni kundule
 
ccm wanafurahisha sana, kila mmoja akipanda kwenye jukwaa atapambana na rushwa ilihali yeye ni kiongozi mkuu ndani ya utawala huo huo wenye wala rushwa.

Alafu wengine husema JK ameongoz vizuri na ataendeleza alipofika lakini atapambana na rushwa iliyokithiri sasa ivi JK ndiye aliyeanzisha rushwa Tz?
 
Hapana shaka watamchagua sasa Magufuli wamesahau wamevunja bunge kama mkutano mkuu wa ccm .Magufuli ana kashfa fresh na live ya biliioni zaidi ya 200 .alio dangaja bunge kuwa ni za maendeleo .wakati zimetumika pasipo kujulikana.bahati mbaya sana atatakiwa kujibu hili kwenye bunge la umma wa watanzania.jibu ni kwaheri ccm 2015
 
Nazaidi watu awa mjui kinana wengi wa ndugu zake kwa hila wameomba kama wakimbizi kwenye nchi za sweden.,denmark nakadhalika .binafsi nina mtoto nimezaa na hao ndugu zake dada niliezaa naye alifariki mtoto kapelekwa denmark leo ni miaka 30 sijapata kumona mtoto wangu
 
Back
Top Bottom