Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Siasa ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine , yeye kama ni bingwa wa porojo anatufaa nini katika maendeleo ya taifa letu, mkaa humu kusifia mtu mwenye propaganda za kijinga hapa
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
Hahahahaaa huyu jamaa huwa ananifurahisha sana akiwa anaongea maana he is a politician ambaye ofcoz nafurahi akiwa anaongea then nasahau alichoongea akimaliza but i like watching and listening to him
Wakuu, mi najiuliza, kama kina Mwigulu ndo wachumi wetu daraja la A, sasa hao wa madaraja ya B, C, na D sasa watakuwaje? Au ndo vilaza kama kina mr dhaifu?
Hujui unachokiongea,kwani unaweza kutuambia ni lini cdm waliifunika ccm bungeni,na kwanini? cdm wabunge wake ni chini ya asilimia 25 ya wabunge wa ccm pekee.Wewe kwako umeona ni suala la kujivunia kwa ccm kuwafunika cdm,na kwanini usiseme ccm imewafunika upinzani. Kwa upande mwingine nakubaliana na wewe kwamba kwa uchache wa wabunge wa cdm,basi wabunge wa ccm huwafunika kwa kelele na matusi.nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban
Well said
Sasa wewe mzee Stephen Wasira siku nyingine ulikuwa wapi? mbona kumbe tu siku nyingine huwa una pointi nzuri kabisa za maendeleo? sasa huu u.......*******...... huwa unatoaga wapi? big up mkuu. kwa mara ya kwanza tangu nkufahamu leo nimekupa five zote za kulia.Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
syllabus aliyosoma ni ile jinsi ya kushirikiana na mafisadi kuiba benki kuu. kwasababu hili ndilo walilofanikiwa wachumi daraja la I na wale waandamizi. kama HIZO A NI za kuwaibia watnaganyika basi Mwigulu si kuwa alipata A lakini A ya 99 kama sio 100%mia nimeisikia pia. Wana jf ikumbukwe wiki iliyopita Mwiguru Nchemba wakati akichangia alijitamba wazi kuwa,kuna watu ni wanasheria wajadili mambo ya uchumi,wengine ni wataaramu wa mambo ya disco wanajadili uchumi.ndo akasema yeye ni mwanauchumi daraja la kwanza na amefanya kazi pale BOT.
Hivi sio nasikia yule mshikaji alikuwa BOT wakati wa wizi wa EPA?syllabus aliyosoma ni ile jinsi ya kushirikiana na mafisadi kuiba benki kuu. kwasababu hili ndilo walilofanikiwa wachumi daraja la I na wale waandamizi. kama HIZO A NI za kuwaibia watnaganyika basi Mwigulu si kuwa alipata A lakini A ya 99 kama sio 100%