Wassira ameamka!

Afanye mazoezi aache kusingizia yupo kwenye dozi.....usingizi gani wa pono.
 
IMG_1617.jpg

Duuh, nadhani hao wangeepuka kupeana mikono (shaking hands) naye. Koti kavu, shati kavu, tai kavu.....unadhani ule udenda wa usingizi alikuwa anafuta na nini?
 
Duh, ni heri angeendelea kuuchapa maanake si ukali huo !

kp%2Bjuly%2B8.jpg

 
Back
Top Bottom