Wassira ameamka!

Wassira ameamka!

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Posts
11,562
Reaction score
5,526
IMG_1617.jpg
 
Hahaahahah wakirudi ndani tu...dawa zake ndio zinaanza kufanya kazi sasa!!!mbavu ahhahahah duuu posho kafiri jamani!!
 
Typical of lazy people, kwenye kazi wanalala... kwenye porojo wanakua ring leaders
 
huh.................nasikia jamaa alishawahi ng'atwa na mbung'o
 
Upart from usingizi ...Jamaa has something good ..qualities ...xpirince... ?

yaani what make him where he is ..Jk yuko obssed naye bila sababu?
 
Ha ha ha ha,hapo ndio ameamka!

Jamaa nakuwa active wakati wa usiku na inactive wakati wa mchana... Wakibadilisha mida ya bunge kufanya vikao kutoka mchana na kuanza usiku wa saa tatu hapo atakuwa kafika nyumbani.
 
Upart from usingizi ...Jamaa has something good ..qualities ...xpirince... ?<br />
<br />
yaani what make him where he is ..Jk yuko obssed naye bila sababu?
<br />
<br />
hata weye lugha utata! Mh!
 
Down's syndrome wapo hata watu wazima...japo wengi hufa umri mdogo!
lakini sasa hivi hauwezi kusema ana down's syndrome kutokana na achievements aliyonayo.
 
It's because a president select them from a recycle bin!!
 
Hivi kweli Rais wetu amekosa watu wa kuwa mawaziri ila Wasira? Au ni regional balancing?
 
Back
Top Bottom