Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
- Thread starter
- #21
Tumejaa na mesali kibao za luga yetu ,mfano akuchomae mchome,ukiujua mwengine anaujua huu ,chelewa chelewa utakuta mtoto si wakoo ,mzarau mwiba mguu huota tende, halafu kuna ile nyimbo isemayo Banda waMalawi katuvalia ngozi ya chui....
Ila kitu kimoja jambo ambalo linatufanya tuhanisiwe ni lile la luvishwa kilemba cha ukoka Tanzania ni nchi ya amani watu wake sijui si watu wa fujo yaani misfa kibao ,ndio hivyo sasa hata raisi tunaemtoa kuwakilisha haoni wauaji anawaita majambazi ,shame of this president yaani nikipima anawachafulia wengine wote ,kitu kipo open matelevishon yote duniani yanaonesha makundi ya wazulu alafu unaenda kusema ni majambazi ,sasa kama wale ni majambazi hawa tuliokuwa nao ambao ulitangaza vita vya ama zao au polisi watakuwa ni nani..vibaka?
Ni kuwaambia hawa majambazi tuliokuwa nao kuwa ili tuwahesabu kama majambazi ni lazima wafanye kama yanayotokea South Africa.
Hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa Africa hawa ndio wanaofanya nchi hizi zionekane bado zipo kwenye giza kubwa wanashindwa kukondemu ,wanashindwa kuambiana ukweli hivi mnasahau kama miaka uliyokuwa nanyo hapo ni mitano kama ikizidi ni kumi unaacha waTz wanauliwa kwa kusema eti ni majambazi.
Hii ndio balaala kutawaliwa na vyama vilivyopigania Uhuru ,vipo katika kulinda wasiondoke madarakani sijui wanaona wazungu watarudi ,ndio ile kasumba wanayoilima kule Zanzibar kusema upinzani ukishinda watarusha mabwana wa kiarabu so far utawala una wezi ambao ni mafisadi kibao.