Wasomi wetu wamekuwa majizi je tumkabidhi nchi nani?

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
uongozi wa nchi ulitegemea sana wasomi lakini wasomi wetu ma PHDs zao wamekuwa majizi sasa msomi na muamifu ambaye hakusoma kutokana na uwezo waa familia yake lakini ni muadilifu na anafundishika akipewa nafasi nani anatufaa? ona Prof Mhalu/mahalu
 
Back
Top Bottom