Wasomi wetu na tafiti/ data za kupika

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,560
32,197
Wasomi nchini mnatuangusha na tafiti zenu za kuunga-unga. Mtu unasoma journal article full inconsistencies na methodologies zinazotumika huko full wenge (very weak) ukilinganisha na tafiti za mbele.

Mtu unaona bora hawa wasomi waendelee kuchambua maswali ya Kipima Joto tu maana ndiyo wanachoweza.
 
joshua_ok,
You have a point but poorly scientifically presented. You are making the same mistake as is done by the one you are complaining/blaming (of) for lack of scientific consistency! !
 
You have a point but poorly scientifically presented. You are making the same mistake as is done by the one you are complaining/blaming (of) for lack of scientific consistency! !
Mimi Ngumbaru nyie wasomi mtusaidie
 
Kuna siku jamaa alileta barua ofisini kuomba kuja kukusanya data za research yake ya PhD. Nikakabidhwa tupange siku ya kuja kuonana naye. Kufungua ile barua, inaongelea mambo ya utalii, kitu ambacho ofisi yetu haijihusishi nacho kabisa.

Nikampigia simu kabla ya kuonana nae, akasema tutaongea akija. Siku ilipofika akaja kijana aliyepewa hilo jukum la kukusanya taarifa, nikamweleza ambavyo hatapata taarifa sahihi. Nikaongea na huyo mhusika kwa simu akasema ijazwe tu hivyohivyo.

Uzuri hapakua na sehem ya kuandika jiba langu wala kuweka sahihi. Nikamwambia maadam kuna jina la ofisi yetu hapo, siwezi kupika taarifa za uongo. Jamaa akasogea pembeni akajijazia dodoso lake na kuondoka zake.

Sio wote, lakini wasomi wengi wanafanya tafiti kwa lengo la kupata kigezo cha kuhitimu tu na sio kufanya utafiti wenye tija.
 
Could be right but not generally

Yes, mwingine hata hajui research yake inahusu nini au inatakiwa afanye nini (methodologies). Title Tu haielewi inataka nini hata kuielezea Tu shida, what about the contents?

Ila niwazuri wa kufuata format na sio content wala research details

Kosea formatting uone, Ila details au content whether ni strong au weak, they don't care

Nikama wanafanya research ili wahitimu Tu
 
Back
Top Bottom