Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Habari zenu wanajamii. Nimekuwa nikitafakari Mara kadhaa na pia kupata mawazo toka kwa wasomi tofauti juu ya nadharia ya kujiajiri. Suala hili inaonekana ni gumu sana sasa sijajua kwamba hawana akili za maisha, hawana mitaji, ni waoga, au hawajiamini. Mtu yupo tayari aajiriwe kwa sh.laki 5 lakini tu awe chini ya mtu. Je, tunawezaje kubadirisha kasumba hii?