Tabora wamwambia Ditto kalale, yeye ajibu waambieni wake zenu!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,653
2,000
Wamwangalie anaweza kabisa kumtungua mwingine...aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania alipokuwa anastaafu alisema kwamba alikuwa anakosa usingizi kwa rushwa ilivyoshamiri ndani ya mahakama. Kitendo cha Dito kupeta uraiani baada kumuua yule jamaa wa dalax2 ni ushahidi tosha kwamba mahakama zimejaa rushwa.
 
Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
1.
2. Nilikuwa sijajua kuwa Kikwete huwa akiwa Ikulu "analinda Njiwa". Nchimbi kanifumbua macho! Sie wadanganyika tunashinda mashambani yeye anashinda ikulu kulinda njiwa?

Mtu pori, usi shangae ndugu yangu kumbuka hayo maelezo yametoka jikoni kabisaaaa kwa kamati ya ufundi huyo njiwa huenda ni njiwa kweli.......
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,670
2,000
Huyu ditto ni nani ktk nchi yetu?? je ni mungu mtu?? kwa nini mtuhumiwa aongozane na delegate ya serikali?? ina maana serikali iko proud naye na hakika wanajua wanachokifanya... wanabadilisha njigi ionekane njege.

Lakini ukitembea na mwizi nawe........
 
YournameisMINE

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
2,247
1,225
Huyo Ditto anahitaji "street justice" wallahi sijui kwanini siku aliyomtoa roho suka wa daladala na yeye isiwe mwisho wake........anywayz I wish angemchinja ndugu yangu, jamaa ningemtafutia "hitman" hata kwa $$$$$ 10000...hawa jamaaz ni joke, looks like watu inabidi waende kwa extreme means kudili na hii mijitu!.
 
Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Mar 24, 2007
3,065
1,195
SISIEMU haweshi kujichimbia kaburi ili 2010 mwaka wa mauti yao tusipate shida ya sehemu ya kuhifadhi mabaki ya chama chao milele.

HHe! Vipi Mtuhumiwa wa Kesi ya Mauaji anajibu maswali kwa niaba ya Serikali? (mkono wa kulia umekunja ngumi)
Ditto anajibu Maswali kama nani?(hapo nimekunja ndita)

Dito bado yuko kwenye PayRoll ya serikali ?( Nasonya)

Serikali ya SISIEMU ni lazima itueleze wananchi kuhusu uchuro huu.( Mkono mmoja kiunoni na mwingine nanyosha kidole)
Tukisema SISIEMU ni Chama Cha Majambazi sijui ninyi mnajiita wawashwawashwa wa SISIEMU mnakataa.( Uso wa mshangao)

Sasa Mtuhumiwa wa mauaji yenye ushahidi wa Basi zima la Dala Dala anatafuta nini kwenye misafara ya mawaziri?( Najishika kidevu)

Kibaya zaidi anatukana wananchi na adabu zao zote.( Mikono yote kiunoni)

Kweli Huko kwenu SISIEMUNI wote mmeoza, kama Ditto mwamwona msafi kiasi cha kupamba na hata kuwa msemaji wa msafara wa waziri ni vigumu kabisa kwenu kujitambua Mmajambazi na Makuwadi wa Ukoloni Mamboleo.(Natabasamu kwa Hasira)

Ditto anatakiwa ahukumuwe na wananchi mtaani kwa Mob Justice.(Uso ukionyesha kusudio Madhubuti)
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,747
0

usije ukashangaa ccm inashinda tena kwa asilimia 93 2010 ! wee subiri tu. watu wenyewe wadanganyika, you cant tell them nothing !
 
Kasana

JF-Expert Member
Apr 3, 2007
417
225
hawa wadanganyika wanamatatizo lukuki, kila tatizo linalokuja linakuwa heri lile lilopita, nafsi na akili zimeshachoka, na ubongo ukaamua kutumia shortcut ya kusahau matatizo,
ni vema kuamsha ubongo uone reality na kuurudisha kwenye sense yake, then utaona hiyo 2010,
hatapendwa mtu, ni mabadiliko kwa kishindo,
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,746
2,000
Sheikh Ponda awaponda mawaziri wa Kikwete

na Moses Mabula, TaboraSource:Tanzania Daima.

Hapo patamu sana,Wananchi komaa huu ndio muda wa changes.

Ditopile achana na mambo ya siasa mbona hutulii majibu kama hayo yanaashiria kesi inayokukabili ulikusudia, yaelekea kama ungekuwa na pistol ungeua tena mbaya zaidi mbele ya waziri, acha uhuni.
 
Judy

Senior Member
Aug 13, 2007
195
0
CCM ni Maiti kilichobakia ni kupumzishwa.
lakini tusiwadharau tuangalie sheria gani inamdhibiti Ditto kujibu hoja za wananchi ili isije tokea akawaua tena japo najua safari hii akithubutu raia watamchinjilia mbali.

Huyu Ditto ana matatizo, inaonekana hizi jazba zake zinaweza kuleta maafa mengine atapoendelea kubaki mtaani, bora tu angebaki segerea, we uliona wapi mtu mwenye akili kujibizana kwa hasira na wananchi kwenye mkutano?
 
Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
Huyu Ditto ana matatizo, inaonekana hizi jazba zake zinaweza kuleta maafa mengine atapoendelea kubaki mtaani, bora tu angebaki segerea, we uliona wapi mtu mwenye akili kujibizana kwa hasira na wananchi kwenye mkutano?

Judy uko sahihi,
Damu ya mtu siku zote huwa haipotei hivi hivi, katika hali ya kawaida Ditto hawezi kuwa sawa mentally! Sehemu anapo paswa kuwa ni Segerea au Milembe period!
 
Judy

Senior Member
Aug 13, 2007
195
0
Umenena sawa Rwabugiri, lakini hata hawa mawaziri or whoever plans hizo ziara wana common sense kweli? what did they expect from wananchi?
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
labda tuambiwe ditto alilazimisha kuwa kwenye orodha ya wanaohudhuria.......manake kwa hali ya kawaida, huyo alopanga kuongozana na ditto ndio mchemshaji na hana mashauri ya maana
 
Kalimanzira

Senior Member
Aug 15, 2007
100
0
Hivi wanaharakati za kinamama hamna cha kusema hapo. Maana huyu jambazi Ditto kawaona wanawake ndio wa kuambiwa maneno machafu siyo!
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,535
2,000
Dito kaua tena kwa kukusudia kabisa, na bahati yao wana Tabora siku hiyo aliiacha pistol yake.

JK alituma mawaziri wake kwenda mikoani, Is Dito a reserved minister? ilikuwaje akasimama kujibu swali kwa niaba ya waziri? Hii serikali inayokumbatia wauaji siielewi, haiwezi kusimamia haki za wananchi hata siku moja.

Kilichobaki wananchi watawashusha kwenye majukwaa na mawe kama ilivyokuwa kwa Masawe wa Kinondoni. Wamechoka na ahadi hewa kama alivyo point out Ponda.

ANYWAY HAYO WATAJUA WENYEWE SISI WANANCHI TUMECHOKA NA SISIEM.

WHAT IS A BUDGET - TO ME BUDGET IS A PLAN OF ACTION EXPRESSED IN MONETARY TERMS. Nashindwa kuelewa hawa vinara wa Wizara wanapozunguka kuelezea uzuri wa budgeti, ina rangi? Waache upumbavu!!!!!! Chapeni kazi tuone kinachofanyika sio kutuletea maneno huku mkilipana posho na kuacha kazi zingine za maana. Hivi huyu JK naye amekosa busara kiasi hiki hadi kutuma mawaziri kwenda mikoani wakati yeye na EL wametoka Juzi tu kuzunguka nchi nzima, walikuwa wanafanya nini huko mikoani?

Bunge na wabunge ambao kwa maneno mengine ni wawakilishi walikuwa wanafanya nini bungeni. Wao tumewatuma kutuwakilisha na mawaziri hao hao ndio walikuwa wana present mmoja baada ya mwingine ndani ya wiki 16, sasa na wabunge wenu wa CCM wakaikubali na kuipitisha kwa niaba ya wananchi, ina maana mliwaburuza na sasa mnaenda kwa wananchi kuwaburuza pia? Thubutu!!!!!!!! Wapinzani wamemwaga SUMU kali.

Nawashauri mchape kazi acheni propaganda 2010 sio mbali wakati hamjajenga barabara hata moja huku Kandoro akitulazimisha kuchangia ujenzi wa Madarasa kupitia kamshahara ketu haka kadogo kasikofika mwisho wa mwezi.

CHA MSINGI ENDELEENI KUZUNGUKA TU HADI 2010 JUA LIWACHWEE, SI WOTE MMEKUTANA WASANII.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,535
2,000
haya Ni Matusi Ya Wazi Kabisa, Huyu Muuaji Anawatukana Akina Mama Na Sikutegemea Kwa Mtu Mwenye Akili Iliyokaa Sawa Kutoa Maneno Kama Haya Mbele Ya Wananchi.

Bibi Helen Kb Na Ananilea N Chukueni Hatua Juu Ya Udhalilishaji Huu Wa Akina Mama Zetu. Yeye Ndiye Anayestahili Kwenda Kulala, Tena Segerea. Ni Bora Angejibu Kalaleni Wenyewe, Lakini Waambieni Wake Zenu Wakalale, Hii Akili Ni Mbopvu

Hebu Wana Jf Ileteni Hii Kauli Ya Huyu Muuaji Tuichambue Vizuri
 
kweli hapa unapoint Bill,
Ni vyema wanaharakati wamfungulie kesi nyingine ya kudhalilisha kina mama!! lakini pia wanaTabora wana haki ya kumshitaki huyo muuaji kwenda kwenye jukwaa la siasa na kuanza kuwatukana eti wakawambie wake zao walale?? nadhani hii ikiangaliwa kiundani kuna haja ya kumfunza adabu muuaji huyu, ama ndo jini lake alilo sema lilimtuma kumuua yule dereva wa dala dala labda lilimtuma tena atukane watu??? I doubt the guy is lunatic!
 
Nikifufukammekwisha

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
260
0
Hivi wanaharakati za kinamama hamna cha kusema hapo. Maana huyu jambazi Ditto kawaona wanawake ndio wa kuambiwa maneno machafu siyo!

Ni kweli inabidi tupate ushauri wa Helen Kijo Bisimba wa Legal and Human Rights Centre (LHRC) kuhusiana na hili. Machale yananicheza kuwa Bi Helen atakua anajikusanyakusanya na wenzie ili kutoa tamko rasmi.. Msemo wa Ditto unaweza pia kutumiwa na akina Zitto kama slogan ya kukusanya kura za akina mama kwenye chaguzi zote. Yaani kwa mwendo huu CCM wanazidi kujimaliza wenyewe... Tuone nani zaidi "D" ama "Z"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom